Askari 10 wa Usalama barabarani wafukuzwa kazi....
JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limewafukuza kazi askari wake 10 kwa kosa la kwenda kinyume cha kanuni na sheria za jeshi hilo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
View ArticleMkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama apata Ajali akielekea...
Alex Msama akiwa hospitali baada ya ajali. Kulia ni Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere. ********* Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amepata ajali baada ya gari alilokuwa...
View ArticleMajambazi yawapiga Risasi Wachina na kuwapora fedha eneo la Morocco Dar
Majambazi yamewapiga risasi raia wa China na kuwapora begi linalodaiwa kuwa na fedha eneo la Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam jioni ya leo. Bado haijafahamika ni kiasi gani cha fedha...
View ArticleMh. Edward Lowassa akagua maandalizi ya maadhimisho ya SOKOINE DAY Monduli...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipata maelezo kutoka kwa watoto wa Marehemu Edward Sokoine aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Namelok Sokoine (MB) na Joseph...
View ArticlePicha kutoka Bunge la katiba mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa Kamati namba 1,Mh. Ummy Ally Mwalimu akiwasilisha mapendekezo ya kamati yake leo wakati wa muendelezo wa vikao vya Bunge la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma. Baadhi ya wajumbe wa Bunge...
View ArticleMkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu atuma timu maalumu ya...
Katika siku za hivi karibuni, huko mkoani Mara wilaya ya Butiama kumejitokeza matukio ya mauaji yanayowalenga hasa akina mama wawapo katika shughuli zao mbalimbali. Kufuatia matukio hayo, Mkuu wa...
View ArticleRais Kikwete aipongeza Timu ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania kwa kutwaa Kombe...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameipongeza Timu ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania kwa kutwaa Kombe la Dunia huko Rio de Janeiro – Brazil. “Mmetuwakilisha vyema, ninawapongeza sana, pia mmewapa moyo watoto...
View ArticleTimu ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania iliyotwaa Kombe la Dunia mwaka huu...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara pamoja na Naibu wake Juma Nkamia wakiwa wameshikilia Kombe la ushindi la Timu ya Watoto wa Mitaani (TSC)baada ya timu hiyo...
View ArticleMtuhumiwa Sugu wa Ujangili auawa kwa kupigwa Risasi ya mgongo na Polisi...
Polisi mkoani Simiyu kwa kushirikiana na askari wa Idara ya Wanyamapori katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, wamemuua jangili sugu Majadiga Makabajinga au Mashaka Sai, kwa kumchapa risasi ya mgongo....
View ArticleMajanga: Miley Cyrus apost picha akiwa mtupu kwenye Instagram, aweka taulo...
Miley Cyrus ameamua kuwa mwehu kivyake na kuvunja maadili bila kuogopa lolote litakalosemwa juu yake kwa kupost picha akiwa mtupu kwenye Instagram. Jana (April 11), mwimbaji huyo alipost picha akiwa...
View ArticleDiamond ashika nafasi ya 3 kwenye orodha ya wasanii 20 wa Afrika wiki hii...
Tuzo za KORA ambazo ndizo tuzo kubwa zaidi Afrika zimekuwa zikitoa orodha ya wasanii 20 bora zaidi wa Afrika waliopigiwa kura na mashabiki kupitia ukurasa wake wa Facebook, na wiki hii pia Diamond...
View ArticleMagazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 12 April 2014
Magazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 12 April 2014 <!-- adsense -->
View ArticleAunt Ezekiel afunguka: Niacheni nivae nitakavyo....
Mkali wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa aachwe avae jinsi anavyojisikia hata kama yeye ni mke wa mtu. Akifafanua kauli yake mbele ya gpl, Aunt alisema watu wengi wamekuwa wakimtaka...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumapili ya tarehe 13 April 2014
Magazeti ya Leo Jumapili ya tarehe 13 April 2014 <!-- adsense -->
View ArticleTaarifa kwa vyombo vya habari kuhusu kuvunjwa kwa kaburi la Sheikh Yahya...
Ndugu Wanahabari, Assalam Aleykum Kama mnavyojua kwamba kumetokea tukio la kusikitisha la kuvunjwa kwa Makaburi ya Masheikh Wetu, wapendwa wetu, wazazi wetu na viongozi wetu wa Dini ya Kiisalam,...
View ArticlePicha: Jiji la Dar lafurika MAJI kutokana na mvua kubwa zinazoendelea...
Picha zinaonesha hali halisi ya jiji la Dar es salaam baada ya mvua kubwa kunyesha tangu tarehe 11 April asubuhi hadi jana.... <!-- adsense -->
View ArticleShetta asimulia jinsi alivyonusurika katika ajali mbaya, aenda hospital...
Rapper Shetta alipata ajali mbaya ya gari wakati akielekea Babati, mkoani Manyara kufanya show, lakini Mungu alimnusuru yeye na watu wengine wawili aliokuwa nao katika gari hilo. Akiongea na Times...
View ArticleMakamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal, Dk John Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa...
Viongozi watatu wa Serikali, Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki wamenusurika katika ajali ya helikopita ya...
View ArticleVideo iliyorekodiwa wakati daraja la Bagamoyo linakatika....
Iliyopachikwa hapo chini ni video ya taarifa ya ITV ikionesha kipande cha barabara ya Bagamoyo karibu na daraja, kikimeguka na kisha kukatika kabisa kabla ya kutitia ardhini.
View ArticleMatayarisho ya matengenezo ya kurejesha mawasiliano ya barabara kati ya Dar...
Sehemu ya barabara iliyobomolewa katika Daraja la Mpiji kwenye barabara ya Dar es Salaam - Bagamoyo. Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (katikati) akipokea maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu...
View Article