Polisi mkoani Simiyu kwa kushirikiana na askari wa Idara ya Wanyamapori
katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, wamemuua jangili sugu Majadiga
Makabajinga au Mashaka Sai, kwa kumchapa risasi ya mgongo.
Sai, ambaye alikuwa akisakwa kwa muda mrefu, anatuhumiwa kuwa kinara wa
ujangili na aliuawa wakati akipambana na polisi alipojaribu kuwatoroka
baada ya kutiwa mbaroni.
Kamanda wa Polisi
↧