Miley Cyrus ameamua kuwa mwehu kivyake na kuvunja maadili bila
kuogopa lolote litakalosemwa juu yake kwa kupost picha akiwa mtupu
kwenye Instagram.
Jana (April 11), mwimbaji huyo alipost picha akiwa amevaa taulo jeupe
huku akitengenezwa nywele, taulo hilo likiwa ndilo vazi pekee
lililomwilini mwake na kuandika “#TBT (2hours late but whatevzzzz).
Lakini baada ya
↧
Majanga: Miley Cyrus apost picha akiwa mtupu kwenye Instagram, aweka taulo pembeni na kujianika wazi
↧