Tuzo za KORA ambazo ndizo tuzo kubwa zaidi Afrika zimekuwa zikitoa
orodha ya wasanii 20 bora zaidi wa Afrika waliopigiwa kura na mashabiki
kupitia ukurasa wake wa Facebook, na wiki hii pia Diamond Platinumz
ameonekana kwenye list hiyo.
Diamond amepigiwa kura nyingil na kupanda kutoka nafasi ya 14 wiki iliyopita hadi nafasi ya 3 wiki hii.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook
↧