Viongozi watatu wa Serikali, Makamu wa Rais Dk
Mohamed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli na Mkuu wa Mkoa
wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki wamenusurika katika ajali ya
helikopita ya Jeshi iliyotokea leo jijini Dar es Salaam walipokuwa
wakijiandaa kuelekea kukagua maafa yaliyosababishwa na mafuriko ya mvua
zinazoendelea kunyesha kote nchini.
Hata hivyo, taarifa za
↧