$ 0 0 Iliyopachikwa hapo chini ni video ya taarifa ya ITV ikionesha kipande cha barabara ya Bagamoyo karibu na daraja, kikimeguka na kisha kukatika kabisa kabla ya kutitia ardhini.