Sehemu ya barabara iliyobomolewa katika Daraja la Mpiji kwenye barabara ya Dar es Salaam - Bagamoyo. Waziri
wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (katikati) akipokea maelezo
kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Alhaj Mussa Iyombe
(aliyenyoosha mkono). Kulia ni Mbunge Mteule wa Jimbo la Chalinze Mhe.
Ridhiwani Kikwete. Waziri
wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (mbele mwenye
↧