Rapper Shetta alipata ajali mbaya ya gari wakati akielekea Babati,
mkoani Manyara kufanya show, lakini Mungu alimnusuru yeye na watu
wengine wawili aliokuwa nao katika gari hilo.
Akiongea na Times 100.5 Fm, rapper huyo amesimulia jinsi ajali
hiyo ilivyotokea ambapo ametaja chanzo cha ajali hiyo ni kumkwepa
pundamilia aliyekuwa akikatiza barabarani.
“Mi nilikuwa natoka Dar na
↧
Shetta asimulia jinsi alivyonusurika katika ajali mbaya, aenda hospital kupima kujua afya kiundani
↧