Rais
Jakaya Mrisho Kikwete ameipongeza Timu ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania kwa
kutwaa Kombe la Dunia huko Rio de Janeiro – Brazil.
“Mmetuwakilisha
vyema, ninawapongeza sana, pia mmewapa moyo watoto wengine wote wenye vipaji
maalum lakini hawakubahatika kuwa na makazi rasmi, hongereni sana”
Rais amesema.
Timu
hiyo ya watoto wenye umri chini ya miaka 16 (under 16)
↧