Katika
siku za hivi karibuni, huko mkoani Mara wilaya ya Butiama kumejitokeza
matukio ya mauaji yanayowalenga hasa akina mama wawapo katika shughuli
zao mbalimbali.
Kufuatia
matukio hayo, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu ametuma
timu maalum ya wataamu itakayoongozwa na Mkurugenzi wa Upelelezi wa
makosa ya jinai nchini, DCI Issaya Mngulu kwenda mkoani humo
↧