Mwenyekiti
wa Kamati namba 1,Mh. Ummy Ally Mwalimu akiwasilisha mapendekezo ya
kamati yake leo wakati wa muendelezo wa vikao vya Bunge la Katiba
vinavyoendelea mjini Dodoma.
Baadhi
ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa wamesimama kwa nyakati
tofauti tofauti wakimkatiza Mwenyekiti wa Kamati namba 1,Mh. Ummy
Mwalimu wakimtaka Mwenyekiti wa Bunge amtake Ummy Mwalim kusoma
↧