Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipata
maelezo kutoka kwa watoto wa Marehemu Edward Sokoine aliyewahi kuwa
Waziri Mkuu wa Tanzania, Namelok Sokoine (MB) na Joseph Sokoine ambaye
ni Afisa katika Ubalozi wa Tanzania nchini Canada, kuhusiana na
maandalizi ya maadhimisho ya miaka 30 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu
na Mbunge wa Monduli,Marehemu Edward
↧
Mh. Edward Lowassa akagua maandalizi ya maadhimisho ya SOKOINE DAY Monduli Juu yatakayofanyika Kesho
↧