$ 0 0 Majambazi yamewapiga risasi raia wa China na kuwapora begi linalodaiwa kuwa na fedha eneo la Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam jioni ya leo. Bado haijafahamika ni kiasi gani cha fedha zilizoporwa na majambazi hao. <!-- adsense -->