Alex Msama akiwa hospitali baada ya ajali. Kulia ni Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere.
*********
Mkurugenzi wa
Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amepata ajali baada ya gari
alilokuwa akisafiria kupinduka wakati akielekea mkoani Dodoma. Kwa sasa
Msama anapatiwa matibabu katika hospitali moja mjini Dodoma.
Source: GPL
<!-- adsense -->
↧