JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limewafukuza kazi askari
wake 10 kwa kosa la kwenda kinyume cha kanuni na sheria za jeshi hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kamanda
wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga, alisema
kuwa askari hao walipatikana na hatia baada ya kufunguliwa mashitaka ya
kijeshi.
“Baada ya
↧