Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahakama kuu kanda ya Moshi yawaachia huru washitakiwa 9 na kuwatia hatiani 3...

Mshtakiwa namba 3, Kalisti Joseph Kanje ( aliyebeba mafaili),  Mshtakiwa namba moja, Samwel Gitau Saitoti (alifunika uso) na mwenzake  Mshtakiwa namba 2, Michael Kimani wakitoka nje ya mahakama kuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya leo Jumatano ya tarehe 9 April 2014

                        Magazeti  ya  leo  Jumatano  ya  tarehe  9 April  2014 <!-- adsense -->

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

"Sitaki tena kuwa na Mwanaume...Kama kuna mtu anafikiria kuwa na mimi,...

Staa  anayefanya vizuri kwenye Bongo Fleva akitokea Jumba la Vipaji Tanzania ‘THT’, Mwasiti Almas, amesema kwa sasa hataki kusikia habari za mwanaume kabisa. Akiongea  na Risasi Mchanganyiko, Mwasiti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balaa la kijana aliyekuwa anaishi ndani ya handaki maeneo ya Chuo kikuu cha...

CHACHA Makenge (38) aliyeripotiwa awali kuishi ndani ya handaki katika eneo la pori la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani, amepatwa na balaa jipya baada ya makazi yake kuvamiwa na askari,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete akubali kuliongezea muda Bunge Maalumu la Katiba

RAIS Jakaya Kikwete amekubali kuongeza muda wa Bunge Maalumu la Katiba katika mazungumzo aliyofanya na mwenyekiti wake, Samuel Sitta.   Hayo yalisemwa na Mwenyekiti huyo wakati akijibu swali la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dudubaya anatafutwa na jeshi la polisi kwa kosa la kumkata sikio mama yake...

Msanii nguli wa Hip Hop Bongo,Dudubaya anatafutwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa kosa la kumkata sikio mama yake mkubwa akidai kuwa mama huyo  huwa  anamroga....   Kwa mujibu wa mdogo wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tovuti ya Tume ya Jaji Warioba yafungwa....Viongozi wasema ilifungwa sanjari...

Siku chache tangu Tume ya Mabadiliko ya Katiba ivunjwe baada ya kumaliza kazi yake ya kukusanya maoni na kuandaa Rasimu ya Katiba, tovuti yake nayo imefungwa rasmi. Ukifungua tovuti hiyo iliyokuwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kesi dhidi ya Wanajeshi 27 wa zamani wa Kenya ambao walitoroka jeshini ili...

Kesi dhidi ya Wanajeshi 27 wa zamani wa Kenya ambao walitoroka jeshini ili kujiunga na kampuni za ulinzi nchini Marekani imeanza kusikilizwa  katika kambi ya kijeshi ya Mtongwe Mombasa.    Wanajeshi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lady Jaydee ashiriki kwenye wimbo wa kombe la dunia 2014...

Msanii mkongwe wa muziki nchini Judith Mbimbo maarufu kama Lady Jaydee ameshiriki kuimba wimbo maalum wa kombe la dunia 2014 akishirikiana na David Correy na rapper wa Kenya, Octopizzo ...   Katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uganda yatuma Ujumbe nchini baada ya Polisi wake wakiwa na bunduki kuvamia...

Ujumbe  wa askari wa Jeshi la Polisi la Uganda umewasili nchini kwa kile kinachodaiwa kuja kufanya mazungumzo ili kupata maridhiano kufuatia kitendo cha askari wake wakiwa na bunduki kuvamia eneo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete achaguliwa Kiongozi Bora Afrika Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani mjini Washington DC, Marekani, ambako atapokea tuzo ya Africa’s Most...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati zaanza kuwasilisha taarifa Bunge Maalum la Katiba , wengi wapendekeza...

  Na Magreth Kinabo/MAELEZO- Dodoma Baadhi ya Kamati 12 za Bunge Maalum la Katiba leo zimeanza kuwasilisha  taarifa zao  kuhusu   sura ya kwanza na ya sita ya Rasimu  ya Katiba  ya Jamhuri ya Muungano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mamia ya wasafiri waliokuwa wakitokea Karatu kuelekea Arusha, Dar es Salaam...

Baadhi ya wasafiri na wanakijiji wakitizama daraja la Kirurumo lililoharibiwa kwa mafuriko na kukata mawasiliano kati ya Karatu, Ngorongoro na Serengeti. **** Mamia ya wasafiri waliokuwa wakitokea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa ya CCM kulaani kauli ya Mbunge wa Jimbo la Kahama, James Lembeli...

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARICCM MKOA WA SHINYANGA YA LAANI KAULI YA MBUNGE WA JIMBO LA KAHAMA JAMES LEMBELI KUWA “CCM SIYO MAMA YANGU” Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Shinyanga KIMELAANI vikali kauli ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lulu Michael alia na watu wanaotumia jina lake Facebook kuchangisha...

Muigizaji wa bongo movies Elizabeth ‘Lulu’ Michael ameelendelea kuwa mmoja kati ya waathirika wa vitendo vinavyofanywa na watu wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii kwa majina ya watu maarufu kwa lengo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kituo cha Radio cha dini ya Kiislamu cha Al-Noor Chateketea kwa Moto maeneo...

KITUO cha kurusha matangazo ya radio cha dini ya Kiislamu cha Alnoor kimeteketea kwa moto ikiwemo studio zake tatu. Mkurugenzi mkuu wa Radio Alnoor, Mohamed Suleiman Tall, alithibitisha kutokea kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shirika la "Tanzania Sisi kwa Sisi Foundation (TSSF)" LAFUTIWA USAJILI kwa...

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto imelifutia usajili Shirika la Tanzania Sisi kwa Sisi Foundation (TSSF), kwa tuhuma ya kujihusisha na kuhamasisha ushoga nchini.   Taarifa kwa umma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Marufuku Bodaboda na Bajaji za abiria kuvuka Mwenge kwenda Posta....

Oparesheni Nzito ya kuzuia Bodaboda na Bajaji zisifanye safari zake  kutoka Mwenge na maeneo mengine kuelekea mjini Posta imechukua sura mpya jana  baada ya Askari wa Usalama wa Barabarani kuanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANAPA yakanusha kutangaza nafasi za kazi....

  Katika  baadhi ya mitandao ya habari ya kijamii zimekuwepo habari zilizonukuliwa zikitoa taarifa kuwa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limetangaza nafasi za ajira kwa Wahifadhi Wanyamapori...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 11 April 2014

                            Magazeti  ya  leo  Ijumaa  ya  tarehe  11  April  2014 <!-- adsense -->

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>