CHACHA Makenge (38) aliyeripotiwa awali
kuishi ndani ya handaki katika eneo la pori la Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam sehemu ya Mlimani, amepatwa na balaa jipya baada ya makazi yake
kuvamiwa na askari, kukamatwa na mwishowe kupelekwa Muhimbili kitengo
cha wagonjwa wa akili kwa ajili ya matibabu.
Makenge ambaye aliwahi kuishi katika handaki hilo kwa muda wa miaka mitano, alipotoka,
↧