Ujumbe
wa askari wa Jeshi la Polisi la Uganda umewasili nchini kwa kile
kinachodaiwa kuja kufanya mazungumzo ili kupata maridhiano kufuatia
kitendo cha askari wake wakiwa na bunduki kuvamia eneo la Mutukula,
mkoani Kagera, na kurusha risasi ovyo zilizojeruhi Watanzania wawili.
Habari zilizopatikana jana zinaeleza kuwa ujumbe wa askari
hao umewasili nchini wakiongozwa na mmoja wa
↧