Na Magreth Kinabo/MAELEZO- Dodoma
Baadhi ya Kamati 12 za Bunge Maalum la Katiba leo zimeanza
kuwasilisha taarifa zao kuhusu
sura ya kwanza na ya sita ya Rasimu
ya Katiba ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania katika Bunge hilo,
mjini Dodoma, huku maoni ya walio wengi wapendekeza Serikali Mbili.
Uwasilishaji
wa
taarifa hizo ulianza mapema leo asubuhi mara baada
↧