KITUO cha kurusha matangazo ya radio cha dini ya Kiislamu cha Alnoor kimeteketea kwa moto ikiwemo studio zake tatu. Mkurugenzi mkuu wa Radio Alnoor, Mohamed Suleiman Tall, alithibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambayo alisema chanzo chake kikubwa ni hitilafu ya moto katika kituo kikuu cha umeme.
Alisema moto huo ulianzia katika studio nambari tatu ambayo imeteketea huku vifaa vyote ikiwemo
↧