Ray C kuonekana kwenye TV na Cover ya wimbo mpya hivi punde, apiga picha za...
Subira ya mashabiki wa Ray C inaelekea ukingoni huku hamu ya kusikia sauti yake tena ikiongezeka kila anapo-tease ujio wake. Jana, Ray C amepost kwenye Instagram picha ambazo zinaonekana kuwa ni...
View ArticleUchawi: Chungu cha ajabu chaibuka juu ya kaburi la mtoto huku kikivuja damu
Chungu cha ajabu kilichokutwa juu ya kaburi la mtoto Agnes Mlawa katika makaburi ya Makanyagio mjini Iringa leo kikiwa kinafoka damu. Baada ya kufunguliwa chungu hicho ndani kulikuwa na damu, maini...
View ArticleWagombea ubunge jimbo la Chalinze wapiga kura zao
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia tiketi ya CCM, Ndugu Ridhiwani Kikwete akihakiki taarifa zake kabla ya kupiga kura kwenye kituo cha Ofisi ya Mtendaji Kata namba 3 Bwilingu, Chalinze. Aziza...
View ArticleRais Kikwete na Mama Salma Kikwete waungana na wanaChalinze kumchagua mbunge...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisoma karatasi ya kupigia kura kabla ya kupiga kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Chalinze kwenye kituo cha kupigia kura cha Zahanati...
View ArticleMatokeo ya awali Jimbo la Chalinze yanaonesha kuwa Ridhiwani Kikwete ( CCM )...
Matokeo ya awali kwa baadhi ya vituo yanaonesha kuwa mgombea wa CCM Ridhiwani Kikwete anaongoza kata zote 15.... Kazi ya kuhesabu kura katika Jimbo la Chalinze imemalizika na matokeo rasimi...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 7 April 2014
Magazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 7 April 2014 <!-- adsense -->
View ArticleRidhiwani Kikwete ashinda kwa asilimia 86 ( 86.8 % ) uchaguzi wa Ubunge Jimbo...
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ilyosomwa TBC saa moja asubuhi ya Aprili 7, 2014, Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo la Chalinze, Samuel Sarianga amemtangaza aliyekuwa mgombea wa kiti cha Ubunge wa jimbo...
View ArticleMamalaka ya mawasiliano Tanzania ( TCRA ) imetoa TAHADHARI 15 muhimu dhidi ya...
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA TAHADHARI DHIDI YA UHALIFU UNAOFANYWA KUTUMIA SIMU ZA MKONONI Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa kuzingatia kifungu 5 (b) na (e) cha Sheria ya...
View ArticlePenny afunguka....Adai bado yupo SINGLE tangu amwagane na Diamond, asema...
Mtangazaji wa Runinga ya DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa siku zote hawezi kudumu katika penzi la siri. Penny alifunguka hayo alipokuwa akizungumza na gazeti la Ijumaa kuainisha kuwa tangu...
View ArticleCHADEMA mkoani Katavi yabariki kung'olewa madarakani kwa mwenyekiti wa mkoa...
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chadema mkoani Katavi wameridhia kwa kauli moja na kubariki uamuzi wa kumsimamisha uongozi Mwenyekiti wa Mkoa wa Chama hicho, John Malack na viongozi wengine watatu...
View ArticleSerikali YABANA usajili wa Sekondari....Kuanzia sasa shule yoyote mpya...
KUANZIA sasa, shule yoyote mpya isiyokuwa na maabara ya sayansi na maktaba haitasajiliwa na wala kuruhusiwa kutoa huduma; Serikali imeagiza. Wakati agizo hilo linagusa shule za Serikali pamoja na za...
View ArticleWatanzania wanne wakamatwa na polisi wa Macau China wakijihusisha na biashara...
Wanawake wanne wa Kitanzania wamekamatwa katika jimbo linalojitegemea la Macau, nchini china wakituhumiwa kufanya biashara ya ukahaba na wengine kwa kusafirisha watu kwa lengo la kufanya biashara ya...
View ArticleLulu amkumbuka Kanumba ikiwa ni miaka miwili tangu kifo chake...
Leo (April 7), ni miaka miwili tangu afariki Steven Kanumba, muigizaji aliyeacha pengo kubwa kwenye tasnia ya filamu Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla. Aliyekuwa mpenzi wake na muigizaji...
View ArticleTimu ya watoto wa mitaani ya Tanzania yatwaa ubingwa wa dunia
Timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania imetwaa ubingwa wa Dunia wa Watoto wa Mitaani baada ya kuilaza Burundi mabao 3-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa jana (Aprili 6), jijini Rio de...
View ArticleMagazeti ya leo Jumanne ya tarehe 8 April 2014
Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 8 April 2014 <!-- adsense -->
View ArticleViongozi wanne wa CHADEMA Mkoani Arusha wajivua Uongozi, Warudisha kadi za...
Viongozi wanne wa CHADEMA toka ngazi ya Wilaya na Kata katika Mkoa wa Arusha wameachia nyadhifa zao na kujitoa uanachama wa chama hicho. Viongozi hao, Amani Torongey (Mwenyekiti Monduli), Revocatus...
View ArticleRais Kikwete na Rais wa Zanzibar waongoza mamia kumuombea dua Abeid Karume
Rais Jakaya Kikwete na rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein jana wamewaongoza mamia ya wananchi katika dua maalum ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na...
View ArticlePolisi wa Uganda wakiwa na bunduki wavamia Tanzania na kuanza kufyatua risasi...
Askari saba kutoka nchini Uganda wakiwa na bunduki ambazo idadi yake haijafahamika, wamevamia eneo la Mutukula, mkoani Kagera, na kuanza kufyatua risasi ovyo.Hali hiyo ilizua hofu na kusababisha...
View ArticleMwenyekiti wa bunge maalumu la katiba atembelea viongozi wa dini.....
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo(kushoto) akimkaribisha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta (kulia) ofisini kwake leo mjini Dar es salaam kuhusu maendeleo ya Bunge Maalum. Katibu Mkuu wa...
View ArticleOfisi ya Taifa ya Takwimu Yatoa taarifa ya Mfumuko wa Bei nchini....Yadai...
Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na sensa ya Watu na Makazi Bw. Ephraimu Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kutoa taarifa ya mfumuko wa bei nchini unapimwa kwa kipimo...
View Article