Wanawake wanne wa Kitanzania wamekamatwa katika jimbo
linalojitegemea la Macau, nchini china wakituhumiwa kufanya biashara ya
ukahaba na wengine kwa kusafirisha watu kwa lengo la kufanya biashara ya
ngono. kinyume cha sheria (human trafficking)....
Polisi walipewa fununu kuwa kuna biashara ya ukahaba inafanyika
katika hoteli moja iliyopo jimboni humo. Polisi walipofanya msako,
↧