KUANZIA sasa, shule yoyote mpya isiyokuwa na maabara ya sayansi na maktaba haitasajiliwa na wala kuruhusiwa kutoa huduma; Serikali imeagiza.
Wakati agizo hilo linagusa shule za Serikali pamoja na za binafsi zinazojengwa, kwa upande wa shule zilizopo ambazo hazina mahitaji hayo, unaandaliwa mkakati hatimaye zote ziwe na maabara na maktaba.
Akizungumza na mwandishi katika mahojiano
↧