Leo (April 7), ni miaka miwili tangu afariki Steven Kanumba,
muigizaji aliyeacha pengo kubwa kwenye tasnia ya filamu Tanzania na
Afrika mashariki kwa ujumla.
Aliyekuwa mpenzi wake na muigizaji aliyeshirikiana nae katika kazi ya
uigizaji wa filamu tangu akiwa mdogo, Elizabeth ‘Lulu’ Michael amepost
video yenye picha kadhaa za Kanumba na za kwake na ameandika ujumbe
maalum kwa ajili
↧