Askari
saba kutoka nchini Uganda wakiwa na bunduki ambazo idadi yake
haijafahamika, wamevamia eneo la Mutukula, mkoani Kagera, na kuanza
kufyatua risasi ovyo.Hali hiyo ilizua hofu na kusababisha tafrani kubwa
miongoni mwa wakazi wa eneo hilo.
Habari kutoka eneo hilo zinaeleza kuwa askari hao waliokuwa wamevalia
kiraia, walifanya uvamizi huo majira ya saa 11:00 jioni, kwa kile
↧