Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo(kushoto) akimkaribisha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta (kulia) ofisini kwake leo mjini Dar es salaam kuhusu maendeleo ya Bunge Maalum.
Katibu
Mkuu wa Bakwata, Suleiman Lolila akisalimiana na Sitta alipowasili
ofisi za Makao Makuu ya Bakwata jijini Dar es Salaam leo.
Shehe Mkuu wa Tanzania, Issa Bin Simba akiwa ofisini kwake
↧