Rais Jakaya Kikwete na rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein jana wamewaongoza mamia ya wananchi
katika dua maalum ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi marehemu Abeid Amani Karume.
Karume aliuawa April 7 mwaka 1972 akiwa katika jengo lililokuwa Makao
Makuu ya Chama cha Afro Shirazi huko Kisiwandui mjini
↧