Viongozi wanne wa CHADEMA toka ngazi ya Wilaya na Kata katika Mkoa wa
Arusha wameachia nyadhifa zao na kujitoa uanachama wa chama hicho.
Viongozi hao, Amani Torongey (Mwenyekiti Monduli), Revocatus Parapara
(Mwenyekiti Ngorongoro), Gerald Majengo (Mwenyekiti Kata ya Terati) na
Prosper Mfinanga (Katibu Mwenezi Kata ya Olorien) wamekutana na
wanahabari kueleza kuwa wameamua kuwa raia
↧