Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkazi wa Kata ya Majengo Manispaa ya Moshi anaswa akifanya mapenzi na...

KATIKA hali ambayo ni ya kushangaza, mkazi wa Kata ya Majengo Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kukutwa akifanya ngono na mbwa.   Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Platnumz kufanya video nyingine mpya nchini Uingereza

  Diamond Platnumz anazidi kudhihirisha kuwa yeye ni mfano wa kuigwa kutokana na jitihada kubwa anazozifanya za kujiimarisha na kujitangaza katika soko la Afrika. Baada ya kufanya collabo na baadhi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Scenes za Uchi kwenye filamu ya TITANIC bado zinamsumbua Kate Winslet ambaye...

  Kate Winslet bado anasumbuliwa na scene yake ya uchi  kwenye filamu ya ‘Titanic.’ Mshindi huyo wa tuzo ya Oscar aliyeigiza kama Rose DeWitt Bukater, alisaula nguo zake kwenye filamu hiyo ya mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Daz Baba akanusha kutumia Bangi na Madawa mengine ya kulevya ....Adai bado...

Msanii wa zamani wa kundi la Daz Nundaz, Daz Baba amesema kuwa hatumii madawa ya kulevya kama watu wengi wanavyodhani. Muimbaji huyo ambaye wiki hii ameachia wimbo mpya uitwao ‘Jela’ amekiambia kipindi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Afrika Kusini yaanza kugawa bure kondom zenye rangi na harufu nzuri kwa...

Serikali ya Afrika Kusini imeanza mpango wa kuwapa bure vijana wa shule za sekondari kondom zenye rangi tofauti tofauti na ambazo zina harufu nzuri ya kuvutia.   Mpango huu unalenga kuzuia wanafunzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwalimu amchapa mwanafunzi wa darasa la saba hadi kufariki dunia

Hii ni taarifa kutoka Kenya ambapo inasemekana Wazazi katika kaunti ya Kirinyaga mkoa wa Kati nchini Kenya wameandamana kwa hasira baada ya mwalimu mmoja kumchapa mtoto mmoja wa shule ya msingi hadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watu watatu wafariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi machimboni Dar es Salaam

 Watu watatu waliofahamika kwa majina ya Msagala, Jacob na Mhando wakazi wa Bunju jijini Dar es Salaam  wamefariki dunia.  Shughuli ya uokoaji ikiendelea.  Waokoaji baada ya kugundua mwili ulipo.  Watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jaji Augustino Ramadhani awataka wajumbe kujadili Rasimu ya katiba kwa...

Makamu mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Augustino Ramadhani akiongea jijini Dar es Salaam jana Aprili 3, 2014 katika wa mjadala kuhusiana na umuhimu wa Tanzania kuwa na katiba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgombea ubunge Chalinze, Ramadhani Mgaya avamiwa na kukatwa mapanga

Mgombea  Ubunge katika Jimbo la Chalinze, wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ramadhani Mgaya (pichani juu) kupitia chama cha AFP amejeruhiwa kwa mapanga na watu wasio julikana.   Mgaya amesema amevamiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Walimu Wapya waliopangiwa Mkoani Kigoma wapokelewa kwa Shangwe...

   Walimui zaidi ya 350 wa shule za msingi na sekondari waliopangiwa kufanyakazi ya kufundisha katika halmashauri ya wilaya ya kigoma wamepokelewa kwa mbwe mbwe na bashasha huku wakipewa motisha mbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 5 April 2014

                        Magazeti  ya  leo  Jumamosi  ya  tarehe  5  April  2014

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lulu Michael awataka wasichana kujishughulisha ili wapate pesa za kujikimu...

  Elizabeth  Michael ‘Lulu’   ambaye  kwa  sasa  yupo  jijini  Mwanza  kusaka  vipaji  vya  Bongo  Movie amewaasa wasichana wenzake kujitahidi kujishugulisha na kazi mbalimbali  za  kuwaingizia  pesa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muimbaji wa kike wa Nigeria adai ataitoa bikira yake kwa mwanaume...

Muimbaji wa kike wa Nigeria, Adokiye Kyrian amesema bado ni bikira na ataendelea kuwa hivyo hadi pale atakapopata mwanaume sahihi. Kwenye mahojiano na jarida la Vanguard, muimbaji huyo mrembo alisema:...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

[Audio]: Ridhiwani Kikwete asema anauhitaji ukatibu mkuu wa CCM kuliko Urais...

Mtoto wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ridhiwani Kikwete ameeleza nia na ndoto yake ya kuwa katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) siku za usoni.   Ridhiwani Kikwete ameeleza ndoto yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtambo wa kudhibiti simu uliozinduliwa na Rais Kikwete wakabiliwa na changamoto

Mamlaka  ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema  mtambo uliozinduliwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya kudhibiti udanganyifu katika mitandao ya simu za kimataifa, unakabiliwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAWA waumbuana ndani ya bunge......Ni kwa kutafuta kasoro ndogo ndogo za...

TABIA ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa kutoka vyama vya upinzani waliounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutafuta kasoro ndogo ndogo za kutaka Bunge liahirishwe mara kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ibara muhimu sura ya kwanza na ya sita zakataliwa na wajumbe wa bunge maalumu...

Baadhi ya ibara muhimu za sura ya kwanza na ya sita za Rasimu ya Katiba zimekataliwa na wajumbe wa kamati mbalimbali za Bunge Maalum la Katiba baada ya kukosa theluthi mbili kutoka kila upande wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Michango Imeshindikana....Mtanzania mwenzetu Agustine Michael Lukindo imebidi...

Watanzania wa Wisconsin, Marekani wanapenda kutoa shukurani kwa wote waliojaribu kuokoa kutokuchomwa moto kwa ndugu yetu, mpendwa wetu Agustine  Michael  Lukindo.... Pamoja na jitihada zote...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi wa Chalinze kumchagua mbunge wao leo.....

Baada ya kampeni zilizodumu kwa mwezi mmoja, hatimaye uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, Pwani unatarajiwa kufanyika leo ili kumpata mrithi wa Said Bwanamdogo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya leo Jumapili ya tarehe 6 April 2014

                Magazeti  ya  leo  Jumapili  ya  tarehe  6  April  2014 <!-- adsense -->

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>