Hii
ni taarifa kutoka Kenya ambapo inasemekana Wazazi katika kaunti ya
Kirinyaga mkoa wa Kati nchini Kenya wameandamana kwa hasira baada ya
mwalimu mmoja kumchapa mtoto mmoja wa shule ya msingi hadi kupoteza
maisha.
Mtoto
huyo inasemekana alichapwa kichwani na mwalimu na kuzirai na alipokua
akipelekwa hospitali alifariki dunia,ambapo wazazi hao wameandamana kwa
amani wakitaka hatua
↧