Serikali ya Afrika Kusini imeanza mpango wa kuwapa bure vijana wa
shule za sekondari kondom zenye rangi tofauti tofauti na ambazo zina
harufu nzuri ya kuvutia.
Mpango huu unalenga kuzuia wanafunzi kuchoka kutumia mipira ya
kawaida ya kondom wanaposhiriki ngono. Waziri wa afya Aaron Motsoaledi,
ameyasema hayo baada ya utafiti uliofanywa nchini humo kuonyesha kuwa
matumizi ya mipira
↧