Msanii wa zamani wa kundi la Daz Nundaz, Daz Baba amesema kuwa hatumii madawa ya kulevya kama watu wengi wanavyodhani.
Muimbaji huyo ambaye wiki hii ameachia wimbo mpya uitwao ‘Jela’
amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa yupo fit kuendeleza
gurudumu lake la muziki.
“Kikumbwa mashabiki wangu wajue zile habari walizokuwa wanazisikia
kwenye magazeti ni uzushi tu,” alisema.
“
↧