Kate Winslet bado anasumbuliwa na scene yake ya uchi kwenye filamu ya ‘Titanic.’
Mshindi huyo wa tuzo ya Oscar aliyeigiza kama Rose DeWitt Bukater,
alisaula nguo zake kwenye filamu hiyo ya mwaka 1997 ili Leonardo
DiCaprio’ aliyeigiza kama Jack Dawson alichore umbo lake tupu,
anakubali kuwa hukosa amani kuangalia sehemu za filamu hiyo na hukataa
kusaini picha zilizochorwa kuigiliza
↧