Diamond Platnumz anazidi kudhihirisha kuwa
yeye ni mfano wa kuigwa kutokana na jitihada kubwa anazozifanya za
kujiimarisha na kujitangaza katika soko la Afrika. Baada ya kufanya
collabo na baadhi ya wasanii wa Nigeria aliko hivi sasa, ameweka wazi
mpango wake wa kufanya video nyingine nchini Uingereza.
Platnumz ambaye amefanikiwa kufanya collabo na Kukere master Iyanya,
amesema mara
↧