KATIKA hali ambayo ni ya kushangaza, mkazi wa Kata ya Majengo Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kukutwa akifanya ngono na mbwa.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz, alitaja jina la mtu huyo (jina tunalihifadhi), akisema anadaiwa kukutwa akifanya kitendo hicho usiku wa kuamkia jana kwenye chumba chake.
Kamanda Boaz alisema majirani zake, ndiyo
↧