MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik amesema hawezi kusitisha agizo lake la pikipiki na bajaj kuingia katikati ya jiji, kwani hana mamlaka hayo, kwani anasimamia sheria.
Alisema hayo jana Dar es Salaam wakati akizungumza na Habari leo kuhusu ombi la Mbunge wa Ubungo, John Mnyika kutaka asitishe agizo hilo kupisha mazungumzo baina ya Serikali, wahusika wa bodaboda na bajaj na
↧