Polisi Mkoani Dodoma yakamata watu watatu waliokuwa wakiandamana na mabango...
WATU watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma kwa kufanya mkusanyiko usio halali huku wakiwa wamebeba mabango yanayohamasisha uvunjifu wa amani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna...
View ArticleTangazo la nafasi za kazi kutoka Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa...
Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu...
View ArticleWimbo Mpya:Professor Jay ft Diamond Platinumz- KIPI SIJASIKIA
Sikiliza wimbo mpya wa Professor Jay aka Heavy Weight MC akiwa amemshirikisha Diamond Platinumz,wimbo unaitwa Kipi Sijasikia. Wimbo umefanyika studio za Bongo Records chini ya producer P Funk Majani...
View ArticleIKULU yafafanua kuhusu madai ya tume ya katiba Kutupiwa virago, kupewa kiinua...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Gazeti la Raia Mwema lililotoka leo, Jumanne, Aprili 2, 2014, limeandika habari zisizokuwa za kweli chini ya kichwa cha habari : “Warioba: Ikulu imetutupia virago”....
View ArticleWazazi 100 mkoani Ruvuma wafikishwa mahakamani kwa kosa la kusherehekea...
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Thabit Mwambungu ameiambia FIKRA PEVU leo Jumatano, Aprili 2, 2014 kuwa Serikali ya Mkoa huo imewafikisha mahakamani wazazi 100 kwa tuhuma za kufanya sherehe baada ya...
View ArticleMagazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 3 April 2014
Magazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 3 April 2014
View ArticleMchungaji adai hajaoga tangu mwaka 2001 kwa sababu alimbiwa na Mungu asioge
Nadhani ulishawahi kusikia ama kushuhudia watu wa eneo Fulani ama jamii fulani wakimlazimisha kichaa kuoga kwa nguvu kwa kuwa amezidi kuwa mchafu, lakini hii ni tofauti kwa waumini wa dhehebu...
View ArticleWatu watano wafariki dunia katika Mapigano ya wakulima na wafugaji wa mipaka...
Mapigano ya kugombea ardhi kati ya wakulima na wafugaji katika eneo la mpaka kati ya wilaya za Kishapu mkoani Sninyanga na Igunga, mkoani Tabora yameua watu watano. Mapigano hayo yaliyotokea Jumapili...
View ArticleJokate Mwegelo adai bado yupo single....Kazi kwenu akina kaka
Jokate Mwegelo yupo single ... Staa huyo mwenye vipaji lukuki alisema hayo Jumatatu hii kwenye kipindi kipya cha TV1, ‘The One Show’ anachokiendesha kwa kushirikiana na Ezden Jumanne aka The Rocker....
View ArticleRais Kikwete amteua Mwandosya kuwa Mkuu wa Chuo cha MUST
Rais Jakaya Kikwete amemteua Profesa Mark Mwandosya kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Must) wakati Profesa Joseph Msambichaka akiteuliwa Makamu Mkuu wa chuo hicho. Katika...
View ArticleKamati za bunge maalumu la katiba zaendelea vyema kujadili rasimu ya...
Mwenyekiti wa Kamati namba sita ya Bunge Maalum la Katiba Stephen Wassira(katikati) akisoma dua ya kuharisha kikao cha Kamati leo mjini Dodoma. Wengine ni Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel...
View ArticleVideo: Wema Sepetu Azua Timbwili Kubwa Globalpublishers Kwa Madai Ya...
Wema Abraham Sepetu amezivamia ofisi za Global Publishers zilizoko Bamaga – Mwenge, Dar es Salaam akidai kuwa ameandikwa vibaya kwenye magazeti ya kampuni hilo na kuzua tafrani. Ni kama unaangalia...
View ArticleHalmashauri ya jiji yabomoa meza za machinga maeneo ya posta jijini Dar
Maafande wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi leo wameendelea na bomoabomoa ya meza za wafanyabishara ndogondogo 'Wamachinga' kama walivyonaswa na kamera...
View ArticleCHADEMA yazidi kuchanja mbuga katika kampeni zake za lala salama jimbo la...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Issa Said Mohamed akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Miono, katika mkutano wa kampeni, uliofanyika kijijini hapo. Baadhi ya wananchi...
View ArticleKuelekea ukingoni mwa kampeni za uchaguzi Chalinze, CCM yazidi kuzibomoa...
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye sambamba na Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete wakiyarudi magoma wakati wa Mkutano wa Kampeni za...
View ArticleMagazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 4 April 2014.......
Magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 4 April 2014.......
View ArticleJaji Warioba aijibu IKULU....Adai tume yake ilifanya kazi hadi March 18 2014,...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema waliokuwa wajumbe wa tume hiyo hawajawahi kudai malipo ya pensheni ya Sh200 milioni kama inavyodaiwa. “Wajumbe wa...
View ArticleMama adai kuibiwa mtoto na Manesi akiwa Leba
Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jinala Shakila Bakari (30),mkazi wa Mbagala jijini Dar, ametoa madai mazito kuwa manesi wa hospitali moja (jina linahifadhiwa) iliyopo Mbagala wamemuiba mmoja wa watoto...
View ArticleTFDA yatoa matokeo ya ukaguzi wa maduka ya Vyakula jijini Dar es salaam...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) Bw.Hiiti Sillo (kulia) akitoa ufafanuzi wa maziwa yaliyokamatwa yakiwa kwenye kifungashio kisichokua na maelezo yoyote yakiuzwa kwenye maduka ya...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Dar ampasha John Mnyika....Adai hawezi kusitisha agizo lake...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik amesema hawezi kusitisha agizo lake la pikipiki na bajaj kuingia katikati ya jiji, kwani hana mamlaka hayo, kwani anasimamia sheria. Alisema hayo jana...
View Article