Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jinala Shakila Bakari (30),mkazi wa
Mbagala jijini Dar, ametoa madai mazito kuwa manesi wa hospitali moja
(jina linahifadhiwa) iliyopo Mbagala wamemuiba mmoja wa watoto wake
wawili aliojifungua Machi 28, mwaka huu.
Akizungumza na gazeti la Ijumaa juzi, Shakila alisema siku ya tukio majira
ya saa 6 mchana,alijifungua mtoto wake wa kwanza,lakini
↧