Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) Bw.Hiiti
Sillo (kulia) akitoa ufafanuzi wa maziwa yaliyokamatwa yakiwa kwenye
kifungashio kisichokua na maelezo yoyote yakiuzwa kwenye maduka ya kuuzia vyakula
“Supermarkets” na Mini-Supermarkets katika jiji la Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) Bw.Hiiti
Sillo akizungumza na waandishi wa habari leo
↧
TFDA yatoa matokeo ya ukaguzi wa maduka ya Vyakula jijini Dar es salaam .....Supamaketi 29 zafungwa
↧