Mapigano ya kugombea ardhi kati ya wakulima na wafugaji katika eneo la
mpaka kati ya wilaya za Kishapu mkoani Sninyanga na Igunga, mkoani
Tabora yameua watu watano.
Mapigano hayo yaliyotokea Jumapili iliyopita katika kijiji cha Magalata
wilayani Kishapu na kusababisha vifo hivyo na mtu mmoja kujeruhiwa baada
ya kushambuliana kwa kutumia mikuki.
Waliouawa ni Peter Korongo Masolwa(72)
↧
Watu watano wafariki dunia katika Mapigano ya wakulima na wafugaji wa mipaka ya Shinyanga na Tabora
↧