Jokate Mwegelo yupo single ...
Staa huyo mwenye vipaji lukuki alisema hayo Jumatatu hii kwenye kipindi
kipya cha TV1, ‘The One Show’ anachokiendesha kwa kushirikiana na Ezden
Jumanne aka The Rocker.
Katika kipindi hicho cha kwanza kuoneshwa, watangazaji hao walianza
kwa kuhojiana wao kwa wao kwanza na moja ya maswali aliyoulizwa Jokate
ni kama yupo kwenye uhusiano wowote wa
↧