Rais Jakaya Kikwete amemteua Profesa Mark Mwandosya kuwa Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Must) wakati Profesa Joseph
Msambichaka akiteuliwa Makamu Mkuu wa chuo hicho.
Katika uteuzi huo uliofanyika mwishoni mwa Machi
mwaka huu, Rais pia amemteua Profesa Osmund Kaunde kuwa Naibu mkuu wa
chuo upande wa taaluma, utafiti na ushauri, wakati Profesa Emmanuel
Luoga
↧