Mwenyekiti wa Kamati namba sita ya Bunge Maalum
la Katiba Stephen Wassira(katikati) akisoma dua ya kuharisha kikao cha Kamati
leo mjini Dodoma. Wengine ni Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel
Sitta(kulia) na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Dkt. Maua Abeid
Daftari(kushoto).
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ismail Jussa
akitoa mchango wake leo mjini Dodoma kwa Mwenyekiti wa wa Bunge
↧