Wema Abraham Sepetu amezivamia ofisi za Global Publishers zilizoko
Bamaga – Mwenge, Dar es Salaam akidai kuwa ameandikwa vibaya kwenye
magazeti ya kampuni hilo na kuzua tafrani.
Ni kama unaangalia filamu mpya ya Wema Sepetu ambayo huenda jina
halijafahamika..lakini pigia msitari tu kwamba kituko hiki kimetokea kweli kama kinavyoonekana katika video hapo chini kwenye
↧