Nadhani ulishawahi kusikia ama kushuhudia watu wa eneo Fulani ama
jamii fulani wakimlazimisha kichaa kuoga kwa nguvu kwa kuwa amezidi kuwa
mchafu, lakini hii ni tofauti kwa waumini wa dhehebu analolisimamia
mchungaji Wale Olanguji wa Nigeria.
Mchungaji Wale wa kanisa la Divine Seed of God wa Ibadan, Oyo,
Nigeria ameliambia jarida la People City la Nigeria kuwa hajawahi kuoga
↧