Wassira avunja mbavu waombolezaji mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano), Bw. Stephen Wassira aliwavunja mbavu waombolezaji waliofika kwenye mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara marehemu John Gabriel Tuppa yaliyofanyika nyumbani...
View ArticleRais Kikwete astushwa na ajali kubwa iliyotokea Jumamosi, Machi 29, 2014 na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amestushwa na kuhuzunishwa na ajali kubwa iliyotokea usiku wa Jumamosi, Machi 29, 2014, katika Mkoa wa Pwani ikihusisha magari...
View ArticleMajina ya walimu wa Ajira Mpya waliokubaliwa kubadilisha Vituo vya kazi
WALIMU WA AJIRA MPYA 2014 WALIOKUBALIWA KUBADILISHIWA VITUO Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imefanya mabadiliko ya vituo vya kazi kwa walimu Ajira mpya mwaka 2014 baada ya...
View ArticleWatu 6 wauawa kwa milipuko jijini Nairobi Kenya.....
WATU sita wanadaiwa kupoteza maisha wakati 10 wakijeruhiwa baada ya milipuko miwili kutokea eneo la Eastleigh jijini Nairobi, Kenya jana usiku. Milipuko hiyo ililipuliwa na magaidi katika mghahawa...
View ArticleMagazeti ya leo Jumanne ya tarehe 1 April 2014
Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 1 April 2014 <!-- adsense -->
View ArticleBunge la katiba: Hofu yatanda upitiaji Rasimu.....Wajumbe wahofia misimamo ya...
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Bw. Samuel Sitta, jana ameahirisha shughuli za Bunge hilo hadi Aprili 4 mwaka huu, ili kutoa fursa kwa kamati 12 zilizoundwa kujadili Rasimu ya Pili ya Katiba...
View ArticleMtumbwi wazama mto Rufiji....Watu saba hawajulikani walipo mpaka sasa
MTU mmoja amefariki dunia na wengine saba hawajulikani walipo baada ya mtumbwi waliokuwa wakiutumia kuvuka Mto Rufiji, kupinduka na kuzama majini. Tukio hilo lilitokea juzi saa mbili usiku katika...
View ArticleTaarifa Muhimu kuhusu ziara ya Rais Kikwete nchini Uingereza
Uingereza inajivunia kuwa nchi inayoongoza katika uwekezaji nchini Tanzania na itaendelea kuisaidia Tanzania katika jitihada zake za kiuchumi na kuleta maendeleo . Waziri Mkuu wa Uingereza David...
View ArticleWahanga wa shambulizi la kigaidi kwenye ubalozi wa Marekani wa Kenya na...
Jaji John Bates Jaji wa mahakama ya Washington nchini Marekani ameamuru kulipwa jumla ya dola milioni 907 za Marekani kwa wahanga wa shambulio la kigaidi la bomu kwenye ubalozi wa Marekani jijini...
View ArticleMtoto asababisha FUMANIZI zito ndani ya hospitali ya Mwananyamala.....
TAFRANI ilizuka usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Mwananyamala, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ikihusisha wanandoa baada ya mke aliyekuwa amempeleka mtoto kutibiwa, kumbamba mumewe akimleta...
View ArticleMatukio katika picha kwenye kamati za Bunge Maalum la Katiba.
Mwenyekiti wa Kamati namba tano(5) ya Bunge Maalum la Katiba Hamad Rashid Mohamed (katikati) akiongoza mjadala wa Kamati hiyo leo mjini Dodoma wakati wanapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba...
View ArticleKamati za Bunge Maalum la Katiba zaanza kazi vizuri, ila baadhi wasema muda...
Mwenyekiti wa Kamati namba 11 ya Bunge Maalum la Katiba Anne Kilango Malecel akifafanua jambo kwa waandishi wa habari hawapo pichani katika ukumbi wa mikutano wa St. Gasper leo mjini Dodoma....
View ArticleMagazeti ya leo Jumatano ya tarehe 2 April 2014
Magazeti ya leo Jumatano ya tarehe 2 April 2014 <!-- adsense -->
View ArticleWatoto wawili wa familia moja wateketea kwa moto.....
Watoto wawili wa kiume wa familia moja, Daniel Paul (8) na mdogo wake, Emmanuel Paul (3), wamepoteza maisha wakiwa pamoja baada ya kuteketea kwa moto ndani ya nyumba. Tukio hilo lilijiri majira ya saa...
View ArticleZoezi la kuondoa ombaomba katikati ya jiji la Dar es salaam limeanza.
Zoezi la kuwaondoa ombaomba katikati ya jiji la Dar es Salaam limeanza ambapo halmashauri ya manispaa ya temeke imefanikiwa kuwakamata baadhi ya ombaomba walioonekana katika maeneo ya manispaa yao kwa...
View ArticleJini Kabula afunguka......Adai kuwa UKIMWI utawamaliza wasaii wengi wa Bongo...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kustua ,msanii mkongwe katika kiwanda cha Bongo movie nchini Miliamu Jolwa maarufu kama Jini Kabula ameibuka na kusema kuwa hakika gonjwa hatari la UKIMWI...
View ArticleBunge la Afrika Mashariki lavunjika
Arusha. Bunge la Afrika Mashariki (Eala) limeanza kuonekana kufanana na Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma. Bunge hilo jana limevunjika bila kujulikana litakutana tena lini baada ya kuibuka...
View ArticleKiongozi wa kidini mjini Mombasa, Sheikh Abubakar Shariff (Makaburi) auawa...
Kiongozi wa Waislam wa mlengo wa siasa kali anayeitwa Abubakari Sharif maarufu kama Makaburi ameuawa kwa kupigwa risasi nchini Kenya usiku wa kuamkia leo. Habari zinasema kuwa Makaburi...
View ArticleKesi ya Zitto Kabwe dhidi ya CHADEMA yapigwa kalenda hadi Mei 29.
KESI ya madai iliyofunguliwa na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Kabwe Zitto dhidi ya chama hicho, imeahirishwa hadi Mei 29 mwaka huu, itakapotajwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam....
View ArticleInasikitisha sana: Kijana auawa kwa KUCHOMWA MOTO wilayani Ilemela Mkoani...
Mtu mmoja anaesadikiwa kuwa ni jambazi ambaye hakufahamika jina anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 25 ameuwawa kwa kupigwa mawe kisha kuchomwa moto na mwingine kunusurika kuuwawa. Tukio hilo...
View Article