Waziri Mkuu aongoza mamia ya wananchi wa Mkoa wa Dodoma kuuaga mwili wa...
Viongozi Dini wakiongoza ibada ya kuuaga mwili wa Marehemu John Gabriel Tupa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na hapo awali aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma,aliefariki ghafa siku kadhaa...
View ArticleRais Kikwete apokea ripoti ya mahesabu ya Serikali toka kwa mkaguzi mkuu wa...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Ripoti ya Mwaka kutoka kwa Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh Ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleYaliyojiri Bungeni Dodoma Ijumaa ya leo ya tarehe 28 Machi 2014 kuhusu...
Wapendwa wasomaji, kama Mwenyekiti wa Bunge Maalum, Sammuel Sitta alivyotangaza jana wakati akiahirisha kikao cha jioni, kwamba, kazi kubwa ya leo ni kufanya maamuzi juu ya vifungu vya 37 na 38 vya...
View ArticleWawili wafariki dunia, Saba wajeruhiwa na wanne hawajulikani walipo baada ya...
Wafanyakazi walioajiriwa na shirika la Reli Tanzania (TRL) wakitoa mchanga kwenye kichwa cha treni ya mizigo kilichopata ajali usiku wa kuamkia katika stesheni ya Gulwe, Wilaya ya Mpwampwa. Katika...
View ArticleBunge Maalum la Katiba lapitisha azimio la kura ya mseto....Kura ya SIRI na...
Na Magreth Kinabo, Dodoma Hatimaye baada ya mvutano wa baadhi wa wajumbe wa Bunge la Maalum la Katiba kuhusu upigaji wa kura ya siri na ya wazi kuendelea leo Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni na Haki...
View ArticlePicha: Madhara yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini...
Mvua zilizoanza kunyesha juzi usiku na kuendelea jana jijini Dar es Salaam zimesababisha adha katika makazi ya watu hasa wanaoishi katika maeneo ya mabondeni na watumiaji wa barabara kutokana na...
View ArticleAunt Ezekiel achizika na busu la MBWA......
Diva wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameonekana kuchizika na busu la mbwa baada ya kunaswa akiwa amewabeba mbwa wawili na kufurahia mmoja wapo alipombusu. Tukio hilo lilitokea juzikati nyumbani...
View ArticleMwanamke ashitakiwa kwa kumuua mwanae wa miaka 4 baada ya kuhisi ni SHOGA...
Mwanamke aliyetajwa kwa jina la Jessica Dutro, anakabiriwa na kesi ya mauaji huko Washington Marekani baada ya kutuhumiwa kuwa alimpiga mwanae wa miaka 4 hadi kumuua baada ya kuhisi kuwa atakuwa...
View ArticleMagazeti ya leo Jumapili ya tarehe 30 March 2014
Magazeti ya leo Jumapili ya tarehe 30 March 2014 <!-- adsense -->
View ArticleCCM yaendelea na mbio zake katika kampeni za uchaguzi mdogo Chalinze
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Hondogo,Kata ya Mandera wakati wa muendelezo wa Mikutano yake ya...
View ArticleMakamu wa Rais Dr. Bilal aongoza mazishi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara,...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiaga mwili wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa, baada ya mazishi yake yaliyofanyika jana...
View ArticleWatanzania wenzetu wazuia KUCHOMWA MOTO kwa mpendwa wetu Augustino Michael...
Watanzania wenzetu wamezuia kuchomwa moto kwa mpendwa wetu Augustino Michael Lukindo aliyefariki dunia jijini Madison, jimboni Wisconsin nchini Marekani jumapili ya March 16, 2014. Wameomba msaada...
View ArticleAjali MBAYA yaua wanawake 12 mkoani Kilimanjaro waliokuwa wakienda...
Waombolezaji 12 waliokuwa njiani kuhani msiba wa mtoto aliyepoteza maisha baada ya kusombwa na mafuriko, wamefariki dunia na wengine saba wamejeruhiwa, baada ya gari lao kugongwa na malori mawili kwa...
View ArticleLulu Michael ABUGI Instagram baada ya kuweka picha hii.....Mashabiki...
Muda mfupi jana baada ya Lulu Michael kuposti mwonekano wa mbele wa jarida la VIBE utakavyo kuwa, huku ukiwa umepambwa na picha yake ya nusu uchi, watu wengi walianza kumshambulia kwa...
View ArticleINASITIKISHA.....Watu wengine 21 wafariki dunia katika ajali mbaya...
Watu 21 wamefariki dunia katika ajali mbaya iliyotokea jana saa mbili usiku katika Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani ikihusisha magari 4 na wengine 11 kujeruhiwa. Akizungumzia tukio hilo kwa njia ya simu...
View ArticleMagazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 31 March 2014
Magazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 31 March 2014 <!-- adsense -->
View Article"Mimi na Gardner tumefikia hatua ya kuishi kama DADA na KAKA"....Lady Jayde
Staa wa kike katika muziki wa bongo, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide amefunguka kuwa yeye na mumewe, Gardner Habash ‘Kapteini’ kwa sasa wanaishi kama kaka na dada hivyo kuibua swali...
View ArticleSnura wa Majanga asimulia jinsi KIUNO chake kilivyomponza na kusababisha KTMA...
Baada ya kutolewa video yake ya Nimevurugwa kwenye tuzo za KTMA 2013/2014, Snura amefunguka kuhusu kile ambacho kilionekana kusababisha video yake kufungiwa na kutolewa kwenye mashindao ya...
View ArticleNjia 64 za daladala jijini Dar zitasitishwa kutokana na kuanza kwa Mradi wa...
NJIA 64 za magari ya daladala jijini Dar es Salaam zitakoma kutumika kutokana na kuanza kwa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART). Kwa kuanzia matayarisho ya kupisha mradi huo, Wakala...
View ArticleTANAPA yakanusha taarifa zinazodai kuwa Hifadhi ya Taifa ya Katavi imeuzwa
SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA), limekanusha taarifa zinazodai Hifadhi ya Taifa ya Katavi ipo kwenye mpango wa kukabidhiwa kwa wawekezaji kutoka nchini Afrika Kusini. Habari hiyo iliandikwa...
View Article