Muda mfupi jana baada ya Lulu Michael kuposti mwonekano wa mbele wa jarida la
VIBE utakavyo kuwa, huku ukiwa umepambwa na picha yake ya nusu uchi, watu wengi walianza kumshambulia kwa maneno machafu kwamba ameiga pozi la
Rihana alilotumia katika Jarida GQ mwaka jana.
Wengi wamelalamika na
kusema kuwa Lulu amejishusha sana na amechafua sifa ya gazeti hilo kwa
↧