Watu 21 wamefariki dunia katika ajali mbaya iliyotokea jana saa mbili
usiku katika Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani ikihusisha magari 4 na
wengine 11 kujeruhiwa.
Akizungumzia tukio hilo kwa njia ya simu jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Pwani, ACP Ulrich Matei, alisema ajali hiyo imetokea katika Barabara
Kuu ya Dar es Salaam-Lindi, eneo la Ikwiriri, wilayani humo.
Awali ajali hiyo
↧