Waombolezaji
12 waliokuwa njiani kuhani msiba wa mtoto aliyepoteza maisha baada ya
kusombwa na mafuriko, wamefariki dunia na wengine saba wamejeruhiwa,
baada ya gari lao kugongwa na malori mawili kwa wakati mmoja.
Abiria hao walikuwa wanasafiri na gari dogo aina ya Toyota Pick Up namba
T 170 AKZ kwenda kuhani msiba uliotokea katika kijiji cha Kongei
kilichoko Hedaru mkoani
↧